Namaliza mwaka kama mwanachama wa JamiiForums. Naomba sapoti yenu tena

Watu wana hadi suti za kufanyia wizi😁😁😁
Sasa avae kifala fala ili usijae kwenye mufumo πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… mwizi inabidi awe smart hata ungekuwa wewee
 
Hata sielewi mkuu, nahisi nipo kwenye stage ya ukomavu wa akili, zinakimazwa na majukumu πŸ˜‚
Ndo Ivo kaka lazima ikomae na hapa Bado vita Bado mbichi

#SUBIRINI MUONE 2025
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…