Ntate Mogolo
JF-Expert Member
- Jun 5, 2016
- 410
- 705
Niliona Sukari ya Kakira sugar(Uganda) ilirudishwa UG eti lazima walipe 25% duty hakuna cha EAC shiet.
Nchi yenu imesota, SGR imekaza vyuma, Bank M imefungwa, deni la nchi limeongezeka maradufu so lazima mjaribu juu chini kuzuia wengine waendelee kiuchumi kwa kutumia njia za kipuzi kama hizo...Uganda watawapita hivi karibuni kiuchumi hata kwa upungufu wao wa kukosa bahari.wewe ulijua kila kitu ni bure
Nchi yenu imesota, SGR imekaza vyuma, Bank M imefungwa, deni la nchi limeongezeka maradufu so lazima mjaribu juu chini kuzuia wengine waendelee kiuchumi kwa kutumia njia za kipuzi kama hizo...Uganda watawapita hivi karibuni kiuchumi hata kwa upungufu wao wa kukosa bahari.
Ugandan Highways
Mineral Rich Tanzanian Highways
umeanza kuwa kichaa sio bure sibishani na wewe
Nchi yenu imesota, SGR imekaza vyuma, Bank M imefungwa, deni la nchi limeongezeka maradufu so lazima mjaribu juu chini kuzuia wengine waendelee kiuchumi kwa kutumia njia za kipuzi kama hizo...Uganda watawapita hivi karibuni kiuchumi hata kwa upungufu wao wa kukosa bahari.
Ugandan Highways
Mineral Rich Tanzanian Highways
Ni mpuuzi tu ndio atalinganisha Ring Road and Truck Road.Nchi yenu imesota, SGR imekaza vyuma, Bank M imefungwa, deni la nchi limeongezeka maradufu so lazima mjaribu juu chini kuzuia wengine waendelee kiuchumi kwa kutumia njia za kipuzi kama hizo...Uganda watawapita hivi karibuni kiuchumi hata kwa upungufu wao wa kukosa bahari.
Ugandan Highways
Mineral Rich Tanzanian Highways