Uchaguzi 2020 Namba 1: Mgombea wa Chama cha Wakulima (AAFP), Seif Maalim Seif achukua fomu (NEC) ya kuwania Urais wa Tanzania

Uchaguzi 2020 Namba 1: Mgombea wa Chama cha Wakulima (AAFP), Seif Maalim Seif achukua fomu (NEC) ya kuwania Urais wa Tanzania

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
1596619037019.png
Mgombea wa Chama cha Wakulima (AAFP) Seif Maalim Seif amekuwa wa kwanza kufika Ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na kuchukua fomu ya kuwania Urais kwaajili ya kugombea kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mgombea mwenza wake ni Rashid Ligania.
 
Kumbe fomunsio moja kama walivyo fanya chama fulani?
 
Ni kagombea Urais haka? Mbona kana sura ngumu kama ya Mh. Diwani wa Kata yangu ya Mavurunza?
 
Acha kukurupuka mkuu,kachukua fomu NEC sio ndani ya chama. CDM wana kazi kubwa kuelimisha watu wao daah
Kumbe wino uliisha kwenye kutayarisha za wale wa kumpinga Baba la Baba ndani ya chama tuu?
 
Back
Top Bottom