Zanzibar 2020 Namba 10: Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Prof. Makame Mbarawa achukua fomu ya kuwania Urais Zanzibar

Mbarawa ndiye mtu sahihi ili kuondokana na utwala wa kifalme!
 
Namba za bahati kiroho ni 1, 3, 7, 10, 12 na 40. Najua 40 hawatofika
Wenye namba hizo mmoja wao ndiye Rais wa Zanzibar ajaye. Amini usiamini.
 
Mkuu,Thomas Sankara noma Sana, yaani daktari ale huku na huku aisee?
 
Sasa nimeeleewa kuwa Msomi akiingia kwenye siasa ndio basi tena! Prof akili zote hizi Tangu aingie kwenye Siasa hajaandika hata andiko moja kwenye Uongozi au Utawala kwenye Sekta alizoziongoza ...

what a shame!
 
Dr mwinyi znz 2020

Mbarawa anauza jina sasa ila 2025 ndiye anapokea kijiti cha JPM
 
Prof Makame Mbarawa naona atashinda kwa 100%. Akikosa huyu basi Nahodha, ila huyu sababu kafanya kazi sana na Mkuu wa sasa, ana upper hand kuwa Rais wa Zanzibar. Makame kila la kheri, Mungu akutangulie.
 
Hii nchi siyo ya kifalme na hakuna mambo ya babake kuwa Rais haimaanishi na yeye lazima awe Rais.
 
Profesa makame mbarawa ndie atakaepeperusha bendera ya CCM zanzibar 2020
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…