Zanzibar 2020 Namba 10: Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Prof. Makame Mbarawa achukua fomu ya kuwania Urais Zanzibar

Kudos Makame Mnyaa Mbarawa , kila la heri kwako!
 
Hapo ndio mtamuelewa Kigogo kwamba wanataka Mbarawa awe rais wa ZNZ.
 
Dr Mwinyi yeye ni muunguja? naomba kufahamishwa tafadhali
 
Anayemaliza muda wake ni mpemba, safari hii lazima atakuwa muunguja
Huyu huenda akaambiwa kwenye CC atakuwa mgombea mwenza wa Dr.

Zanzibar huenda inaongozwa na daktari na profesa.

Muunguja na mpemba.
 
Mkuu,Thomas Sankara noma Sana, yaani daktari ale huku na huku aisee?
Hata baba ake alitawala huku na kule

Rais wa Zanzibar 1984-1985
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 1985-1995

Kwa hiyo nae Dr. Mwinyi atapita njia hi hii ya baba yake.
 
Waziri wa maji, Prof. Makame Mbarawa, amerejesha fomu za Chama Cha Mapinduzi (CCM) za kuwania Urais wa Zanzibar.

Chanzo: nipashetz

Mzukulu sijawahi kupenda vibovu vibovu ndiyo maana naipenda Simba SC, Liverpool FC na Nampenda sana Rais Mtarajiwa ZNZ Profesa Mbarawa.
 
In sha allah na imekuwa hivyo!!
 
Safi sana Prof
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…