Zanzibar 2020 Namba 11: Mwantum Mussa Sultan anakuwa Mwanamke wa kwanza kuchukua fomu ya Urais kwa tiketi ya CCM Zanzibar

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Mwantum Mussa Sultan ni mwanamke wa kwanza na ni wa 11 kujitokeza kuja kuchukua fomu ya kuwania urais wa Zanzibar

1592556589174.png
 
Yupo wapi yule aliyeingia ulingoni na Magufuli na Dr Migiro? Balozi Amina Ally, huyu hata kwa kumuangalia alikuwa na sura ya Urais yaani Presidential look. Nilijua angekuwa Makamu Rais lakini wapi. Sijui kwanini walimpotezea?
 
Siku ile wakati anatoa neno LA shukrani alionesha yuko upande uleeeee wa mawingu meupe, hivyo isingekuwa rahis
 
Back
Top Bottom