Zanzibar 2020 Namba 11: Mwantum Mussa Sultan anakuwa Mwanamke wa kwanza kuchukua fomu ya Urais kwa tiketi ya CCM Zanzibar

mtoto wa karume alisema kama baba yako hajulikani, huwezi kuwa Rais wa zanzibar
 
Yupo wapi yule aliyeingia ulingoni na Magufuli na Dr Migiro? Balozi Amina Ally, huyu hata kwa kumuangalia alikuwa na sura ya Urais yaani Presidential look. Nilijua angekuwa Makamu Rais lakini wapi. Sijui kwanini walimpotezea?
 
Siku ile wakati anatoa neno LA shukrani alionesha yuko upande uleeeee wa mawingu meupe, hivyo isingekuwa rahis
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…