Zanzibar 2020 Namba 12: Haji Rahid Pandu amechukua fomu ya kuwania kugombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM

Zanzibar 2020 Namba 12: Haji Rahid Pandu amechukua fomu ya kuwania kugombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM

Influenza

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2018
Posts
1,509
Reaction score
3,756
Haji Rahid Pandu amechukua fomu ya kuwania kugombea Urais wa Zanzibar kupitia Tiketi ya Chama Cha Mapinduzi. Ni mgombea wa 12 kuchukua fomu za kuwania Urais wa Zanzibar

Instagram(5).png
 
Mbona huyu anasura ya kitanganyika!!?
tena sura ya kinyamwezi kabisaa.
 
Back
Top Bottom