Zanzibar 2020 Namba 19: Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni amechukua fomu ya kuwania Urais wa Zanzibar kupitia CCM

Zanzibar 2020 Namba 19: Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni amechukua fomu ya kuwania Urais wa Zanzibar kupitia CCM

Influenza

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2018
Posts
1,509
Reaction score
3,756
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni amechukua fomu ya kuwania Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Masauni anakuwa mwanachama wa 16 wa chama hicho kujitosa kwenye kinyang'anyiro hicho.

A05EDD4E-2148-4449-9A5A-B9F562D71AA1.jpeg
 
Jana kulikuwa na uzi humu ukiuliza mbona Masauni hachukui fomu, Sijui ni yeye mwenyewe alikuwa anajipigia pande.[emoji848][emoji848]
 
Jana kulikuwa na uzi humu ukiuliza mbona Masauni hachukui fomu, Sijui ni yeye mwenyewe alikuwa anajipigia pande.[emoji848][emoji848]
Hizo tunaita pasi fisi, tangulia naja.
 
Huyu ana historia ya kudanganya umri alipo kuwa UV CCM. Kama wana weka records hiyo inastahili kumtoa kwenye kinyngnyiro..
 
Kumekucha Sasa Hivi Asiye Na Mwana Aeleke Jiwe
 
Back
Top Bottom