Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu unamjua huyu mtu?? Kwa maana ya kumjua?Jiwe atamtumbua huyu, amekataza tamaa ya vyeo!
Nadhani sasa timu inatimia.Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar.Mhe. Mohammed Aboud Mohammed amechukua fomu ya kuwania kugombea Urais wa Zanzibar kupitia Tiketi ya Chama Cha Mapinduzi
Ana undugu na Aboud (MB)wa Morogoro ?Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar.Mhe. Mohammed Aboud Mohammed amechukua fomu ya kuwania kugombea Urais wa Zanzibar kupitia Tiketi ya Chama Cha Mapinduzi
Ana undugu na Aboud (MB)wa Morogoro ?
Kajitokeza mmoja Binti Sultan.Wanawake mbona hawajitokezi?
Wa Moro anaitwa Abood.Ana undugu na Aboud (MB)wa Morogoro ?
Makamu Wa Rais anataka kustaafu siasaKajitokeza mmoja Binti Sultan.