Zanzibar 2020 Namba 21: Ni Bakari Rashid Bakari achukua fomu ya kuwania Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)

Zanzibar 2020 Namba 21: Ni Bakari Rashid Bakari achukua fomu ya kuwania Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
Mgombea Namba 21: Ni Bakar Rashid Bakar ni miongoni mwa wagombea wa kuwania nafasi ya Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)
1592820997058.png
 
Kwanini wanawake wa kizanzibar hawachukui form za kugombea.

Mtu kama VP anakwama wapi?
Mtu kama Zakhia Meghi anakwama wapi?
Mtu kama Fatuma Salum anakwama wapi?
 
Kwanini wanawake wa kizanzibar hawachukui form za kugombea.

Mtu kama VP anakwama wapi?
Mtu kama Zakhia Meghi anakwama wapi ?
Mtu kama Fatuma Salum anakwama wapi ?
VP unataka aache kugombea U VP wa Tanzania aende kugombea urais wa Zanzibar?

Zakia Meghji bado hajastaafu siasa tu?

Amina Salum Ali tangu aondoke ubalozi wa AU Marekani hata hasikiki, labda kashausoma upepo.
 
Waendelee kuchukua tu ila jina litatoka Dodoma
 
VP unataka aache kugombea U VP wa Tanzania aende kugombea urais wa Zanzibar?

Zakia Meghji bado hajastaafu siasa tu?

Amina Salum Ali tangu aondoke ubalozi wa AU Marekani hata hasikiki, labda kashausoma upepo.
VP safari hii hapewi tena U Vp
Alishatumika 2015 ili kuwin kura za wakina mama, hahitajiki tena kipindi maana kinachotumika msimu huu ni mabavu sio ushawishi wa hoja
 
Kwanini wanawake wa kizanzibar hawachukui form za kugombea.

Mtu kama VP anakwama wapi?
Mtu kama Zakhia Meghi anakwama wapi ?
Mtu kama Fatuma Salum anakwama wapi ?
Zenji nchi ya kiislamu wanawake ngumu sana
 
VP safari hii hapewi tena U Vp
Alishatumika 2015 ili kuwin kura za wakina mama, hahitajiki tena kipindi maana kinachotumika msimu huu ni mabavu sio ushawishi wa hoja
Habari hizi umezitoa wapi? Zimetangazwa wapi? Tunazitenganisha vipi na uzushi usio na ukweli?
 
Ha ha ha huyo ni mnyamwezi. Babu zake ndio walihamiaga Unguja enzi hizo.
Ila wazanzibar wengine washamba kinyama yaani. Wapo wanaodhani Tanganyika nzima kuna wanyamwezi tupu.

Wengine ukiwaleta kama Dsm wanahisi wapo New York [emoji3]
 
Ila wazanzibar wengine washamba kinyama yaani. Wapo wanaodhani Tanganyika nzima kuna wanyamwezi tupu.

Wengine ukiwaleta kama Dsm wanahisi wapo New York [emoji3]
Kama sisi tunavofikiria Zanzibar nzima kuna Wapemba tu. Tukipelekwa Forodhani tunaona kama tuko Dubai!
 
Kama sisi tunavofikiria Zanzibar nzima kuna Wapemba tu. Tukipelekwa Forodhani tunaona kama tuko Dubai!
Wewe utakuwa mlugaluga. Zanzibar huwa naenda peke yangu halafu nakatiza kila chocho n a wala sijawahi kuwaza kishamba kama unavyowaza
 
Waendelee kuchukua tuu. Ila kauli yenye kusikitisha ni kwamba "inategemea nimeamkaje"
Hadi sasa hii kauli inawakosesha watu usingizi
 
Wewe utakuwa mlugaluga. Zanzibar huwa naenda peke yangu halafu nakatiza kila chocho n a wala sijawahi kuwaza kishamba kama unavyowaza
Kama huwazi kishamba kwa nini na wewe ukawawazia kishamba shamba? Hivyo Dar kweli ufikirie kama ni New York? Unajuwa kama wao walikuwa na kituo cha TV zaidi ya miaka 20 kabla ya Tanganyika? Unajuwa kuwa Zanzibar ni nchi ya mwanzo East & Central Africa kuwa na Traffic lights na Electric Elevator? Unajuwa pia kama wao ni wa mwanzo kuchapisha newspaper kwa nchi hizo tajwa hapo juu? Itakuwa unaenda Zanzibar kusindikiza wafanyakazi wa ndani kutoka Tanganyika tu wewe!
 
Kama huwazi kishamba kwa nini na wewe ukawazia kishamba shamba? Hivyo Dar kweli ufikirie kama ni New York? Unajuwa kama wao walikuwa na kituo cha TV zaidi ya miaka 20 kabla ya Tanganyika? Unajuwa kuwa Zanzibar ni nchi ya mwanzo East & Central Africa kuwa na Traffic lights na Electric Elevator? Unajuwa pia kama wao ni wa mwanzo kuchapisha newspaper kwa nchi hizo tajwa hapo juu? Itakuwa unaenda Zanzibar kusindikiza wafanyakazi wa ndani kutoka tu wewe!
Kizazi cha sasa ndio wanaamini wakifika Dsm ni kama wamefika NY. Vilevile wengi wanaamini bado wapo kwenye utawala wa kikoloni/kiimla
 
Back
Top Bottom