Zanzibar 2020 Namba 23: Mkuu wa mkoa wa Kusini Unguja, Ayoub Mohamed Mahmud achukua fomu kuwania Urais Zanzibar kupitia CCM

Influenza

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2018
Posts
1,509
Reaction score
3,756
Mkuu wa mkoa wa Kusini Unguja Ayoub Mohamed Mahmud amekuwa mgombea wa 23 kujitokeza kuchukua fomu ya kuwania nafasi ya Urais wa Zanzibar.

 
Itakuja labda zamu ya Shaka sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…