Zanzibar 2020 Namba 25: Mwamamke wa pili, Hasna Attai Masoud achukua fomu ya kuwania Urais wa Zanzibar kupitia CCM. Arudisha fomu

Zanzibar 2020 Namba 25: Mwamamke wa pili, Hasna Attai Masoud achukua fomu ya kuwania Urais wa Zanzibar kupitia CCM. Arudisha fomu

Influenza

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2018
Posts
1,509
Reaction score
3,756
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Hasna Attai Masoud amekuwa mwanamke wa pili kujitokeza kuomba ridhaa ya chama hicho kugombea urais wa #Zanzibar.

Hasna anafanya idadi ya watia nia kupitia Chama cha Mapinduzi hadi sasa kufikia 25 visiwani humo

Facebook(28).png

CURRICULUM VITAE.

Personal Particulars
Surname
: Masoud
Middle Name : Attai
First Name : Hasna
Nationality : Tanzanian
Date of Birth : 06th October 1980
Place of Birth : Zanzibar
Sex : Female
Marital Status : Married
Languages : Swahili and English


Contact Address
Mailing Address : P.O. Box 3761, Zanzibar, Tanzania.
E – mail Addresses : hasner_8@hotmail.com
Phone Number(s) : Cell: +255-777-663232 or +255-713-713232.


ACADEMIC PROFILE
Name of institution/schoolDuration Award
Conventry University of London in Collaboration with Institute of
Accountancy Arusha
March 2011-february 2012Masterz degree in business administration with Information technology management.
Institute of finance management Dar-es-salaam ,TanzaniaOctober 2009 – July 2010Postgraduate Diploma in
Business Administration.
Institute of finance management Dar-es-salaam ,TanzaniaOctober 2004- July2007Advance Diploma in
Information Technology.
Lumumba Sec. SchoolMay 1999 – May 2001Advanced Certificate of
Secondary School Education
Lumumba Sec. SchoolJanuary 1995-November 1998Ordinary certeficate of
secondary education


PROFESSIONAL WORK EXPERIENCE
INSTITUTE DURATION POSITION
Ministry of Finance and
Planning
2003-2007BUDGET OFFICER
Zanzibar Water Authority2008-2018ICT-OFFICER
Zanzibar Petroleum
Regulatory Authority
2018-UP TO NOWICT-OFFICER


5: EXPERIENCE FROM WORK ENVIROMENT


Sagel Pastel (Accounting package)
Aruti (Human resource management)
Smart Billing Management (Water Billing System Management) ❖ Information Management ❖ System Management.
System Assurance Management
User training ❖ SQL querying.
MS Window Server 2003


6: TRAINING CERTIFICATIONS

Training course in information security technology for developing country at CIFAL Shanghai in China on 16th may to 10th july 2013.
Training course on Environmental Impact Assessment at Brisbane Australia on April 25 up to 5 May 2019.
Training course on Information Management at Norway Stavanger on 02Nov2019 up to 15 Nov 2019.

7: PROFESSIONAL CERTIFICATIONS AMBITIOUS
CCNA

MSCE 2008 ❖ MCSA.


8: PROJECTS/ATTENDANCE JOBS
www.zawa.go.tz
www.amazweb.co.tz
Computer Knowledge
Capable in the following areas:
Windows 07,Window XP
Microsoft office(Ms word,Ms Access, Ms Power point,Publisher,Exel) ❖ MySQL,SQL Server 2005.


9: HEALTH STATUS AND HOBBIES
Good physical and Mental condition
Accessing and browsing internet for searching and learning ❖ Advice and counsel different people with social problems ❖ Watching movies.

10: REFFERENCE
Hon. Mohammed. Said. Mohammed
Job: House of Representatives
Position: Member of house of Representatives p.o.box 3761,Zanzibar email: dimwa_donge@hotmail.com
mobile: +255-777-436065/+255-715-436065

Mrs Kazija Mussa Msheba
Job: Zanzibar Water Authority
Position: Commercial director and customer services
Mobile: +255-715-307976
P.O.Box 460, Zanzibar
Email: kimomamy@hotmail.com

9.3 Mr. ADAM MAKAME ABDALLA

Depurty Managing director,
Zaznibar Petroleum Regulatory Authority ZPRA P.O.BOX 4746, ZANZIBAR Tanzania.
Email:adam.makame@smz.go.tz
Mobile: +255-772-447347/ +255-621-010447


UPDATES
ZANZIBAR: HASNA MASOUD ANAKUWA MWANAMKE WA KWANZA KUREJESHA FOMU YA URAIS


Kada wa CCM, Hasna Attai Masoud anakuwa mwanamke wa kwanza kurejesha fomu ya kuomba ridhaa ya kuwania urais visiwani humo

Hasna alikuwa mwanamke wa pili kuchukua fomu ya kuwania kuteuliwa kuwa Mgombea wa Urais #Zanzibar kupitia CCM baada ya Mwantum Mussa Sultan

Wanawake wengine waliochukua fomu ni Fatma Kombo Masoud, Mgeni Hassan Juma na Maudline Cyrus Castico

photo_2020-06-29_13-23-29.jpg
 
Kwa kweli wakina mama hawapo nyuma.hongera sana kwake bi.Hasna.japo kakaa ki taarab sana.
 
Tafsiri yake ni kwamba "urais ni kazi rahisi sana" . Ndiyo maana kuna mtu anapigania/anapiganiwa ili aongezewe mihula mingine (na hataki wengine waiwanie hiyo nafasi) sababu wameona kuongoza wenye akili za kinyumbu ni kazi rahisi sana.
 
Mnapo leta hizi taarifa za watia nia mtupatie na CV zao isije ikawa ni mchezo wa kuchukua mabags hapo🙄
 
Naamini hata bi.Kidude angekua hai nae angeenda kuchukua form.
 
Zanzibar sisiemu wanapata milion za kutosha hongera zao wakitoka viongozi wanaposho nono balaa
 
ASP wamechachamaa msimu huu. Ujumbe mzito kwa TANU tumechoka kuchaguliwa mgombea dodoma - pendekezo moja la Tanu ,24 plus ASP.
 
Hivi Bara wagombea hawaruhusiwi kuchuana na aliopo sasa

Ova
Kuna serikali ya Zanzibar ambayo itakuwa na uchaguzi, na ndio hao wagombea wanaojitokeza. Hakuna serikali 'Bara', na kwa hiyo hakuna cha mgombea kujitokeza. Kuna serikali ya Jamhuri ya Tanzania inajumlisha Zanzibar na Bara itakayokuwa na uchaguzi, na tayari Rais wa sasa wa Jamhuri ameishachukua fomu ya kugombea.

Hivi sasa serikali zote mbili (ya Zanzibar na ya Jamhuri) zinaongozwa na CCM na kufuatana na makubaliano yao, mgombea wao atakuwa Rais aliyeko madarakani kama amekuwa Rais kwa kipindi kimoja tu cha miaka mitano. Kwa mujibu wa kanuni hizo, Rais Magufuli anakuwa mgombea pekee chini ya CCM.

Tofauti na hayo, Rais Shein wa Zanzibar amemaliza miaka 10 ya Urais, na kwa hiyo hastahili kugombea tena. Ndiyo maana wamejitokeza wapya wengi, na yule atakayeteuliwa kama atashinda, atakuwa mgombea pekee chini ya CCM ifikapo 2025. Vivyo hivyo mwaka 2015 walijitokeza wagombea 25 kuwania Urais wa Jamhuri chini ya CCM kwa kuwa Rais Kikwete wa wakati huo hakustahili kugombea tena baada ya kuwa amemaliza miaka 10 ya Urais. Bila shaka mwaka 2025 watajitokeza wengi kugombea chini ya CCM. Taratibu ziko wazi kabisa.

Tusibabaishe watu kwa kung'angania wajitokeze wagombea wengine chini ya CCM kupambana na JPM. Kuna hata wanaokwenda mbali zaidi na kumtaja Membe kwamba achukue fomu chini ya CCM. Membe alifukuzwa uanachama wa CCM na alidiriki kusema hawezi kukata rufaa au kuomba msamaha. Sasa iweje agombee chini ya CCM wakati si mwanachama? Mbaya zaidi, kauli hizi zinasemwa zaidi na watu ambao wala siyo wanachama wa CCM.
 
Back
Top Bottom