Zanzibar 2020 Namba 28: Idd Hamad Idd achukua fomu ya kuwania Urais wa Zanzibar kupitia CCM

Influenza

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2018
Posts
1,509
Reaction score
3,756
Kada wa CCM, Idd hamad Idd amechukua fomu ya kuwania kuteuliwa kugombe Urais wa Zanzibar kupitia CCM katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020
-
Idd Hamad anakuwa mwanachama wa 28 wa chama hicho kuchukua fomu hiyo ambapo tayari Wanawake 3 na Wanaume 24 wameshachukua



 
hata kama ni demokrasi sio kihivi,hizi ni fujo.
 
Aisee Zenji mna shida gani? Huu ni mpasuko unatafutwa hapa.

Au mnamtest mwenyekiti Taifa?
 
Kila Safari huwa haikosagi wasindikizaji
 
Acha umbea maana ya demokrasia UNAIJUA WW had wanaingiza tsh. 1m Kila mmoja na Ni za chama ubaya uko wapi?
 
Acha umbea maana ya demokrasia UNAIJUA WW had wanaingiza tsh. 1m Kila mmoja na Ni za chama ubaya uko wapi?
Ingawa umechanganya herufi kubwa na ndogo lakini nimeelewa.
ni faida kwa CCM chama makini.
Ila mwisho wa siku wasilete makundi
 
oya kuna nini huko ???

wakianza kukatwa sasa ndio utasikia kimbembe ...
 
Hizo form za zanzibery wanachukua kwa buku teni teni nini!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…