Uchaguzi 2020 Namba 3: Leopold Mahona wa Chama cha National Reconstruction Alliance (NRA) achukua fomu ya kugombea Urais wa Tanzania

Uchaguzi 2020 Namba 3: Leopold Mahona wa Chama cha National Reconstruction Alliance (NRA) achukua fomu ya kugombea Urais wa Tanzania

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
1596625403232.png
Mgombea wa Chama cha National Reconstruction Alliance (NRA) Leopold Mahona, amekuwa wa tatu kuchukua fomu ya NEC kwa ajili ya kugombea kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mgombea wake mwenza ni Hamid Ally Hassan.
 
Back
Top Bottom