Roving Journalist JF Roving Journalist Joined Apr 18, 2017 Posts 3,984 Reaction score 13,760 Aug 5, 2020 #1 Mgombea wa Chama cha National Reconstruction Alliance (NRA) Leopold Mahona, amekuwa wa tatu kuchukua fomu ya NEC kwa ajili ya kugombea kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mgombea wake mwenza ni Hamid Ally Hassan.
Mgombea wa Chama cha National Reconstruction Alliance (NRA) Leopold Mahona, amekuwa wa tatu kuchukua fomu ya NEC kwa ajili ya kugombea kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mgombea wake mwenza ni Hamid Ally Hassan.