Zanzibar 2020 Namba 31: Mgeni Hassan Juma, achukua Fomu ya kugombea Urais Zanzibar kupitia CCM

Zanzibar 2020 Namba 31: Mgeni Hassan Juma, achukua Fomu ya kugombea Urais Zanzibar kupitia CCM

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
Mgombea Namba 31: Mgeni Hassan Juma amechukua fomu ya kuwania Urais wa Zanzibar. Alikuwa ni Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi zanzibar.

Bi. Mgeni amekuwa ni mwanamke wa nne kuchukua fomu hiyo jijini Zanzibar.

20200627_154228.jpg
 
Wanaplay game hao washenzi, kila kitu wameshapanga, na police wako tayari kwa lolote, pesa za misaada zimetumika sana kuandaa nguvu ya askari kwa gharama yoyote
 
Dr Bashiru kwani yeye nani ? Akikwazika arudi akafundishe hii ndio demokrasia
 
Kama wanavyo play Chadema,wakati mpango mzima wa atakaegombea unajulikana
Wanaplay game hao washenzi, kila kitu wameshapanga, na police wako taari kwa lolote, pesa za misaada zimetumika sana kuandaa nguvu ya askari kwa gharama yoyote
 
Namba za bahati ni 1, 3, 7, 10, 12, 23 na 40 ila 40 hawajafika. Ktk namba hizo mgombea atatokea hapo na sio kwingineko. Mnawakumbuka wenye namba hizo?
 
Back
Top Bottom