Influenza
JF-Expert Member
- Jul 1, 2018
- 1,509
- 3,756
Mwanachama mwengine wa Chama Cha Mapinduzi CCM, Ndugu Omar Sheha Mussa amechukua fomu kwa ajili ya kuwania nafasi ya uraisi wa Zanzibar kupitia tiketi ya chama hicho Mgombea huyo akiwa ni mgombea wa nne kuchukua fomu ya kugombea nafasi hio kutoka Chama Cha Mapinduzi Ccm Zanzibar.
Aliwahi kushika nafasi mbali mbali katika awamu zilizopita na anaona anataka kuleta mabadiliko kwenye uchumi kwa kuwa ndio sekta yake aliyoitumikia muda mrefu
Aliwahi kushika nafasi mbali mbali katika awamu zilizopita na anaona anataka kuleta mabadiliko kwenye uchumi kwa kuwa ndio sekta yake aliyoitumikia muda mrefu