Uchaguzi 2020 Namba 5: Leonard Toja Manyama ajitokeza kuchukua fomu ya kugombea Urais wa Tanzania kupitia CHADEMA

Influenza

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2018
Posts
1,509
Reaction score
3,756
EceKjlNWsAAdUox.jpg

Leonard Toja Manyama amejitokeza kuchukua fomu ya kugombea Urais kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).

Bwana Manyama ni mwalimu na mtaalam wa mipango miji, kauli mbiu yake niamini nikuvushe.

Ameeleza vipaumbele alivyonavyo endapo atakuwa Rais wa Tanzania.

"Atairejesha Rasimu ya Katiba iliyopendekezwa na Jaji Warioba, naamini yale ndio maoni ya Watanzania, Watanzania ndio wanaotakiwa waamue nchi iendeshwe vipi"

"Nitafuta Sheria ya vyombo vya habari ambayo imekuwa msumari katika uandishi wa habari, nitahakikisha sheria hii kandamizi inaondolewa"

"Katika siku 100, nitarekebisha fao la kujitoa, sio wengine wawapangie wengine maisha yao na pesa zao walizozifanyia kazi"

Manyama anakuwa mwanachama wa tano kuchukua fomu hiyo ya kugombea Urais kupitia chama hicho.
 
'"Katika siku 100, nitarekebisha fao la kujitoa, sio wengine wawapangie wengine maisha yao na pesa zao walizozifanyia kazi"

Bonge la point,wkt huo wabunge wamepokea fao ndani ya siku 3 tu,ila wao ndio wa kwanza kusema watu wafike miaka 55 sijui 60 huko.

Ndio watatezi wa wanyonge hao.
 
Leonard Toja Manyama amejitokeza kuchukua fomu ya kugombea Urais kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).

Bwana Manyama ni mwalimu na mtaalam wa mipango miji, kauli mbiu yake niamini nikuvushe.

Ameeleza vipaumbele alivyonavyo endapo atakuwa Rais wa Tanzania.

"Atairejesha Rasimu ya Katiba iliyopendekezwa na Jaji Warioba, naamini yale ndio maoni ya Watanzania, Watanzania ndio wanaotakiwa waamue nchi iendeshwe vipi"

"Nitafuta Sheria ya vyombo vya habari ambayo imekuwa msumari katika uandishi wa habari, nitahakikisha sheria hii kandamizi inaondolewa"

"Katika siku 100, nitarekebisha fao la kujitoa, sio wengine wawapangie wengine maisha yao na pesa zao walizozifanyia kazi"

Manyama anakuwa mwanachama wa tano kuchukua fomu hiyo ya kugombea Urais kupitia chama hicho.
Mungu ibariki Chadema
 
Hii ni dalili tosha hiki chama kinazidi kukua, wengi wanazidi kukiamini, zile kelele za Chadema kinakufa siku hizi sizisikii.
 
Kwani fomu ya chadema inalipiwa shilingi ngapi? Takukuru chunguzeni kwanini chadema wanatoa fomu ya urais kwa bei rahisi kiasi hicho, wanadhalilisha mamlaka ya urahisi[emoji848]
 
Lumumba wakiona au kusikia mambo kama haya wanazima TVs zao haraka au wana tune TBC Taifa..
 
Leonard Toja Manyama amejitokeza kuchukua fomu ya kugombea Urais kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).

Bwana Manyama ni mwalimu na mtaalam wa mipango miji, kauli mbiu yake niamini nikuvushe.

Ameeleza vipaumbele alivyonavyo endapo atakuwa Rais wa Tanzania.

"Atairejesha Rasimu ya Katiba iliyopendekezwa na Jaji Warioba, naamini yale ndio maoni ya Watanzania, Watanzania ndio wanaotakiwa waamue nchi iendeshwe vipi"

"Nitafuta Sheria ya vyombo vya habari ambayo imekuwa msumari katika uandishi wa habari, nitahakikisha sheria hii kandamizi inaondolewa"

"Katika siku 100, nitarekebisha fao la kujitoa, sio wengine wawapangie wengine maisha yao na pesa zao walizozifanyia kazi"

Manyama anakuwa mwanachama wa tano kuchukua fomu hiyo ya kugombea Urais kupitia chama hicho.
Asante sana CHADEMA kwa demokrasia hii. Safi kabisa CDM!
 
'Niamini nikuvushe'

[emoji23][emoji23][emoji1544]
 
Back
Top Bottom