Influenza JF-Expert Member Joined Jul 1, 2018 Posts 1,509 Reaction score 3,756 Jun 18, 2020 #1 Bwana Mohamed Jaffar Jumanne amechukua fomu ya kuwania kuteuliwa kugombea Urais Zanzibar kwa tiketi ya CCM katika ofisi kuu ya CCM Zanzibar Kisiwandui, ambapo sasa anakuwa ni mgombea wa 7 kuchukua fomu hiyo.
Bwana Mohamed Jaffar Jumanne amechukua fomu ya kuwania kuteuliwa kugombea Urais Zanzibar kwa tiketi ya CCM katika ofisi kuu ya CCM Zanzibar Kisiwandui, ambapo sasa anakuwa ni mgombea wa 7 kuchukua fomu hiyo.
STRUGGLE MAN JF-Expert Member Joined May 31, 2018 Posts 8,633 Reaction score 16,586 Jun 18, 2020 #2 Wapiga kura nawambia ivi, ni yaleyale mpka mtakapoamua wenyewe, msijisumbue
F Freed Freed JF-Expert Member Joined Jun 27, 2017 Posts 6,547 Reaction score 7,167 Jun 18, 2020 #3 Namba 7 kiroho huwa ni namba yenye nguvu mno. Asiposhinda huyu basi atapata nafasi nyingine ya juu serikalini aidha Za Zanzibar au Muungano.
Namba 7 kiroho huwa ni namba yenye nguvu mno. Asiposhinda huyu basi atapata nafasi nyingine ya juu serikalini aidha Za Zanzibar au Muungano.