Namba 7: Siri Iliyofichwa Kila Kona

Hii mada ina mvuto, ila tusichanganye ishara, imani na sayansi.

Namba 7 ina umuhimu mkubwa kwenye dini na tamaduni mbalimbali, lakini madai ya kwamba ni “code ya siri ya kuendesha ulimwengu” au 777 ni ujumbe kutoka kwenye mfumo wa ulimwengu hayana ushahidi wa kisayansi. Hapo ndipo mjadala unapokuwa interesting zaidi: 7 ni bahati ya takwimu, muundo wa asili, au binadamu tumeipa maana?
 
Riziki mafungu 7
 
Mkuu bless on asante kwa somo zuri,
Nina swali nje ya somo, vipi namba 9 kiroho ina sifa zipi?
Kwa kawaida mimba ya binadamu huzaliwa miezi 9, kwa nini mwaka usiwe na miezi 9? Maana hata namba huwa ni 0-9 hizi nyingine zinazozidi ni marudio.
Mkuu naomba elimu kuhusu namba 9
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…