Namba D, A, C kwenye magari zinamaanisha nini?

Asante mkuu,je unaweza pata Plate namba A ikawa nźuri? Sababu kuna jamaa anajza prado 19M ila ni namba A na millage 150,000 nitaishi nayo muda mrefu kweli?
Prado ziko nne..ni ipi anakuuzia 1st gen kakupiga second gen pia anakupiga
 
Unamaanisha plate number au?

Kama plate no wengi huamini no D kwa sasa ndio latest ingawa zipo no D zina miaka miwil kama DDS.

Hiyo no A ndio zile Gari za mwanzo kabisa zilipewa plate no hizo zinamiaka sio chini ya nane mfano AXY
Nane kivipi wakati namba A usajili ulianza 2006 second half kama si 2007 hapo!

Hio gari ina miaka si chini ya 15 toka iingizwe nchini ukijumlisha na 10 ya toka itoke kiwandani ni gari ya miaka 25!
 
Asante mkuu,je unaweza pata Plate namba A ikawa nźuri? Sababu kuna jamaa anajza prado 19M ila ni namba A na millage 150,000 nitaishi nayo muda mrefu kweli?
Kwa mwandiko huu hata ukiuziwa hiyo 2m hiyo hela huna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…