Namba hazidanganyi

Song of Solomon

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2021
Posts
2,752
Reaction score
5,609
Kuanzia tarehe 1 January 2021 hadi leo hii tarehe 12 Disemba 2021, Yanga na Simba wamekutana mara 5. Matokeo ni kama ifuatavyo;

Yanga;
kashinda mechi 3,
kafungwa mechi 1,
sare mechi 1.

Simba; BATA
wamefungwa mechi 3, wameshinda mechi 1,
sare mechi 1.

Hivyo ndivyo tunavyoufunga mwaka 2021. POPOTE ULIPO MWANANCHI PIGA KIFUA.
DAIMA MBELE
UKINUNA UWE NA SABABU [emoji3][emoji3][emoji3]

Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
 
Utopolo's finest..... Hiyo mechi 1 tu aliyofungwa ilikuwa ya ubingwa. Mechi 3 alizoshinda ni kama wangeshinda Ihefu tu....
 
Kwa hiyo kumfunga Simba kwenu ni mafanikio?

Ukizungumzia Simba unazungumzia Mabingwa mara nne mfululizo ligi kuu na Bingwa mtetezi wa Ligi, na hapo bado hatujahesabu makombe ya Azam Confederation na mafanikio tuliyopata kimataifa kwenye CAF.

Mmekula mmeshiba kumbe kimsingi mmekula makapi (kujaza tumbo) ili muonekane mmeshiba, wana Msimbazi tumekula vitu Quality na vyenye faida.

Let that sink in.
 
malengo ya utupolo kwa mwaka 2021 ni kumfunga simba wakati malengo ya simba ni kufika nusu finali mashindano ya CAF
 
Hawa Utopolo kila Wakiitwa Manyani kwao wanaona ni Sifa bora.
Yani Timu inafanya uwekezaji ikiwa na Lengo moja tu la kumfunga Simba?
 
Katika hiyo moja ambayo simba kashinda kabeba ubingwa halafu ww uliyeshinda zote hizo hujabeba kitu
 
malengo ya utupolo kwa mwaka 2021 ni kumfunga simba wakati malengo ya simba ni kufika nusu finali mashindano ya CAF
Hakuna kombe linalo tolewa ktk ngazi ya nusu fainali. Simba inafaa wasitafute kufika nusu fainali ila watafute kombe kwani hata mwaka 1974 pia walitolewa kwenye nusu fainali la klabu bingwa Afrika na Mehallah ya Misri hivyo kama ni kufika nusu fainali basi haitakuwa mara yao ya kwanza ni historia itakuwa imejirudia tu.
 
Hayo ndiyo mafanikio ya utopolo.
Kumfunga Simba.

Mnajitahidi kulalia mlango wazi bahati ya mwingine
 
Hivi simba inashiriki michuano gani ya kimataifa zaidi ya hii mashindano ya mieleka /ukishatolewa kwenye international champion league na ukaingia kwenye shirikisho then wewe ni sawa na anayeshiriki mashindano ya mieleka tu /upo ziwa?
Sawa Uto namba tumeziona,haya tupe maendeleo sasa nyinyi mko wapi kimataifa na wenzenu Simba wako wapi kimataifa?
 
Hivi simba inashiriki michuano gani ya kimataifa zaidi ya hii mashindano ya mieleka /ukishatolewa kwenye international champion league na ukaingia kwenye shirikisho then wewe ni sawa na anayeshiriki mashindano ya mieleka tu /upo ziwa?
Hiyo mieleka utopwiiii/utopwinyo wanashiriki..? Wewe ni mpuuzi hakika
 
Ungekuwa ndugu yangu wewe ningebadilishana na gunia la ufuta // hopeless kabisa
Who is hopeless.? Btn me and you?.? Unaita mashindano.ya CAF confederation cup.eti ni.mieleka hata makundi hujawahi kuvuka hiyo mieleka. Unajua kuandika ugoro but facts huna. Eti imetolewa international kwani shirikisho ni mapinduzi..? Wewe babako.angepiga nyeto au angechomoa tu usizaliwe. Stupid 😏😏😏
 
Ubongo wako una kamasi ! I cant argue with such a moron like you ! To hell
 
Hivi simba inashiriki michuano gani ya kimataifa zaidi ya hii mashindano ya mieleka /ukishatolewa kwenye international champion league na ukaingia kwenye shirikisho then wewe ni sawa na anayeshiriki mashindano ya mieleka tu /upo ziwa?
Nyie hata ayo mashindano ya mieleke mmo?,mnamisimu mingapi mkiingia mnatupwa nje round ya kwanza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…