Namba mpya za magari zaja

Kweli jirani leo umeamu kudumisha mila kabisa; kwani hii mada mtu unaweza kuchangia nini tofatuti na kutaja hizo namba; no point to deal with elite guys out there. Tafuta mada ya maana watu wadadavue
 

Maane hii post iko kwenye jokes/utani na watu tunakuja huku kucheka na kupumzisha mawazo sasa kama we unataka ulioyataja yapo pia,ndio maana ya kuwa na sehemu nyingi kuhudumia watu wa aina na mahitaji tofauti.Mara moja moja tembelea mambo ya kikubwa pia.
 
Nimeenda home majuzi nikakuta accountant ofisini kwetu kanunua Mitsubishi yake T 3_8 ASS. Halafu ni mlokole huyo dada!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…