comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
Kwamba Kwa sasa nawewe nikapata voda ya 075,6,4 ? Au hujaelewasajili laini hizo nyingine mkuu haina haja ya malalamiko mengi.
Kama hii 0792 inasumbua balaa, hata wanaounga vifurushi mawakala wanasema inasumbua sanaVoda ni 075 na 076 hizo nyingine ni mazingaombwe π
Hizo hazitambuliki, hata Voda wnyw hawazijui πKama hii 0792 inasumbua balaa, hata wanaounga vifurushi mawakala wanasema inasumbua sana
Waambie watume kwangu!Hizi namba mpya za voda znasumbua Sana kupokea pesa kutoka ulaya na Marekani tofauti na namba za voda nyingine.
Hizi laini zinashida gani??