Namba msaada wa namna ya kufanya booking ya ndege: Air Tanzania au Precision Air

Namba msaada wa namna ya kufanya booking ya ndege: Air Tanzania au Precision Air

sharafu

Senior Member
Joined
Jun 1, 2020
Posts
121
Reaction score
137
Naombeni msaada wa namna ya kufanya Booking ya ndege : Precision Air au ATCL, Sababu baada ya kuchagua tarehe ya safari wakati wa kufanya Booking sioni sehemu ya kubonyeza ili niende katika hatua inayofuata.
 
actl haifai kwa sasaa sio salama kabisaa....juzi apoo kwenye safari yetu toka mwanza...choo kilikuwa hakiflash kabisaa mleee.....ndo maana wanaliwa ban ulaya hukoo
 
Ingia kwenye website ya atcl.kisha bonyeza vile vimstari vitatu pale juu kabisa kwenye Kona kulia
Utaletewa option Kisha chagua "my travel"
Yatakuja maneno "book flight"
Chagua "one way"
Kama LENGO lako ni kwenda tu uendako Kisha utarudi Kwa ratiba zako.
Jaza kwenye hayo maeneo ya chini unaponzia,na UNAPOENDA kuishia
Siku unatotaka kusafiri kisa ukijaza yote bonyeza kitufe Cha chini,ukiminya kitaanza kusearch kama Kuna ndefe inayoondoka hiyo siku eneo ulilojaza.ikiwemo utaelewa majibu.kama hakuna.kama mda tofauti ama tar ya kesho yake itabidi uchague hiyo
Ukiletewa majibu ndio utaamua ubook tiketi yako watakupa options uchagua,Kwa njia ya simu,bank au cash.ukilipa ndo sijui utatumiwa online ticket hapo aijui maana sijawahi kupanda.
Nimekusaidia Kwa Kari ya elimu yangu ya fomfoo D.
 

Attachments

  • Screenshot_20241218-173432.jpg
    Screenshot_20241218-173432.jpg
    147.7 KB · Views: 5
  • Screenshot_20241218-173425.jpg
    Screenshot_20241218-173425.jpg
    151.1 KB · Views: 4
  • Screenshot_20241218-173432.jpg
    Screenshot_20241218-173432.jpg
    147.7 KB · Views: 5
  • Screenshot_20241218-173425.jpg
    Screenshot_20241218-173425.jpg
    151.1 KB · Views: 6
Back
Top Bottom