kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
TCRA na "106# wanafaidika na nini? Maana ni kama usanii.
Hiyo ni namba tuliyoambiwa kuitumia kuhakiki iwapo vitambulisho vyetu vimesajili namba ambazo hatuzitambui.
Kwa bahati mbaya kila nikijaribu wala sipati majibu. Sasa nauliza, iwapo TCRA wanatumia nguvu nyingi kuitangaza kupitia clouds, je wanafaidika na nini iwapo sisi wananchi haitusaidii kujua kama vitambulisho vyetu vimetumika na matapeli?