pet geo pet
JF-Expert Member
- Jun 30, 2018
- 508
- 788
Katika pitapita zangu nimeona wafauasi wa CCM karibu nchi zima wanafurahia kuanguka kwa wapinzani nguri wa Tanzania kama vile HECHE,MDEE,ESTHER, LEMA,SUGU,MBOWE,MSIGWA,na wengineo.
Hawa viongozi msidhani wanashida kama hawa wanaofurahia kila siku CCM mbele kwa mbele ukiangalia hata uhakika wa Milo miwili hawana uhakika,wamesomesha watoto wao shule lakini hawana ajira kwakweli inasikitisha sana.
Na maisha yatakuwa magumu sana zaidi ya munavyofikiria,subilieni muda ufike na bunge la CCM ndio ndioooo ndiooo imepita hiyo.
Hakika tutakao umia sisi watu wa chini,ninahuhakika hata wao CCM wanajuta kwa waliyotenda kukosa changamoto bungeni.
Sasahivi hatakuwa na watu wasiojulikana, wapinga maendeleo, tusubilie mwendo wa kuwa na Tanzania kama karifoniaaaaa..hakika tumerudi miaka 30 nyuma.