Namba uliza kwa waume na wanawake

samilakadunda

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2011
Posts
1,780
Reaction score
355
ivi inakuwaje mwanamke anafika kileleni kwa mda mfupi sana kisha anasema yeye hawezi endelea ametosheka? Kwa maranyingi husikia hawa viumbe huchelewa sana! Au huyu mwenza wangu anatatizo au mimi? Ukweli tunamiaka kama nane ndivyo mambo yalivyo na baada ya hapo hukaa 2days na kurudia tena.
 
Anakudanganyaaa Anakudanganya Huyoooooo-B Luv M

Kaka tuna 8 yrs, namimi pia humuona kwamba sasa anafika,hivyo hufanya juu chini twende sambamba,na wakatimwingine humuomba turudie lakini huonyesha kuwa amechoka nahuwanamuonea huruma.
 
Huo muda mfupi ni muda gani??? Sasa kama wewe inakuchukua dakika 45 ndio unamaliza, mwenzio akimaliza ndani ya dakika 20 unaona kuna tatizo??? Wanawake tunatofautiana katika muda wa kufika kileleni, hata nyie men mnatofautiana pia. Sasa kinachokushangaza sijui ni nini!!
 
Kaka tuna 8 yrs, namimi pia humuona kwamba sasa anafika,hivyo hufanya juu chini twende sambamba,na wakatimwingine humuomba turudie lakini huonyesha kuwa amechoka nahuwanamuonea huruma.

Unachukua dkk ngapi wewe kwani?
 
Muda mfupi kwako unaweza kuwa mrefu kwake!
 
aisee ni kweli kabisa mie imeshawahi kuitokea demu kamaliza ndani ya dakika mbili tatu tu kabisa namuona anahaha kuachia kitu, lakini mie nikiwa bado na baada ya hapo anapumua kwa nguvu akisema amechoka kabisa. Nikadhani utani siku ikapita.

Next time nikasema ngoja nifanye juu chini nimuwahi, weeeee, dakika moja au mbili demu kamaliza shughuli haid akawa kama kazimia, kuamka hapo anasema yuko hoi.

Hadi leo sielewi huyu demu ana matatizo gani
 
inategemeana na homoni zao maana kunawengine wanazimia kabisa ndani ya muda mfupi baada hata ya dakika1~5 hivi ndio anapata fahamu tena
 
mparamie, usimwandae kama unaumua unga wa vitumbua.

Anza zile za 'rara nikurenge'
 
Maandalizi 30min tendo 5min wote tushamaliza.
 
Nashukuru kwa kuniunga mkono mwana mpotevu naona wadau hawanielewi!
 
Kama hivo ye ndio anawahi basi jitahidi uwahi kumaliza ndani ya dkk 3 kula karanga mbichi sana!

Mkuu hii haisaidii hebu soma post yangu hapo juu, mie nimewahi kushuhudia hii, tatizo ukianza maandalizi then ukichomeka kitu tu demu anamaliza fasta, labda useme uingie bila kumfanyia maandalizi kitu ambacho hakitofautiani na ubakaji.
 
Naunga mkono hoja.mwana mpotevu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…