Namba ya jezi na thamani yake

uwepo

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2014
Posts
600
Reaction score
741
kuna imani kuwa namba ya jezi huwa na thamani yake inapovaliwa na mchezaji na hutakiwa kutumikiwa

NAMBA 10
messi
roben
james
zidane
dinho

NAMBA 9
ronardo delima
fernando torres(enz zake)

NAMBA 8
xavi
gerrad
kaka

na namba nyingine nying ikiwemo namba7 hiv kuna ukweli wowote kati ya jezi na uwezo wa mchezaji wanajamvi
 
Namba 13 - Mvaaji maarufu wa namba hiyo ni Michael Ballack.

Namba 13 inaaminiwa ni namba yenye mkosi zaidi duniani.

Michael Ballack amevaa namba 13 karibu maisha yote ya soka na hii ni mikosi yake:
1.Kufungwa Fainali ya World Cup 2002 ambapo Ujerumani alipoteza dhidi ya Brazil.

2.Kufungwa Fainali ya Champions League 2002, ambapo Bayer Leverkusen alifungwa 2-1 na Real Madrid, mtakumbuka lile goli maarufu la Zidane, ndilo goli la ushindi.

3. Kufungwa Fainali ya Euro 2008 ambapo Ballack na Ujerumani yake walifungwa na Spain Fainali.

4.Kufungwa Fainali ya Uefa Champions League, Ballack akiwa na Chelsea yake walifungwa na Man Utd kwa Matuta mwaka 2008.

5.Kuumia dakika za mwisho na kukosa World Cup ya mwaka 2010.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…