Namba ya kuondoa tatizo la kuishiwa mafuta bila kujua

Ila mwansngu we mbishi aisee,,, pole lakini

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Vituo vyote vya Total wanauza fuel treatment. Ukiwa Dar, bei ni 7,500 kwa diesel fuel treatment. Mikoani bei ni 10k.

Hizo Petrol treatment watu hawajui tu,zinachukua uchafu kwny tank na kupelekea ku-cloge injector noozles na hapo utaanza shughuli nyingine tena.

Kwa muda mfupi hauta ona madhara yake lkn in long run inaleta madhara kwenye pumps,injectors, seals na oxygen sensors.
 
Na unadhani hizo fuel treatments zikishachukua huo uchafu ndani ya tank then huo uchafu unapelekwa wapi mkuu?
 
Thanks...it is very educative
 
Na mimi nilikuwa na swali kama hilo...ngoja tuone wajuvi watatujuzaje...

lakini mimi nadhani jambo la msingi ni kujenga tabia ya kuweka mafuta kwenye vituo vinavyoaminika...
Tuachane na mafuta ya kuuziwa uchochoroni..kwa mfano lori la mafuta limeanguka watu wanachota mafuta ambayo yametiririka kwenye mifereji, unauziwa mafuta hayo....lazima tu yatakusumbua....tusipende bei rahisi sana itatugharimu sana siku zijazo
Na unadhani hizo fuel treatments zikishachukua huo uchafu ndani ya tank then huo uchafu unapelekwa wapi mkuu?
 
Asante sana nilikuwa sijui hii
 
Hizo Petrol treatment watu hawajui tu,zinachukua uchafu kwny tank na kupelekea ku-cloge injector noozles na hapo utaanza shughuli nyingine tena.
Kuna fuel injector cleaners pia, inayokuja kama fuel additive...
 
Kwa muda mfupi hauta ona madhara yake lkn in long run inaleta madhara kwenye pumps,injectors, seals na oxygen sensors.
Define long run!! Maana nimekuwa nikitumia diesel treatment bila madhara yoyote
 
Kuna fuel injector cleaners pia, inayokuja kama fuel additive...
Fuel injectors inahusisha Solenoid,Needle,Nozzle,O - ring na njia nzuri ya kusafisha fuel injectors ni kutumia Ultrasonic Injector Cleaning Machines.

Hizi fuel injectors cleaners ni kujilisha upepo tu.
 
Naam uko sawa kabisa mkuu na mwenye masikio asikie.
 
Nimeuliza pale juu huo uchafu ukishatolewa kwny Tank then unapelekwa wapi?
Sijui! Nami nauliza, madhara ni yepi? Maana natumia diesel treatment miaka yote, na mashine ipo safi kabisa.
 
Fuel injectors inahusisha Solenoid,Needle,Nozzle,O - ring na njia nzuri ya kusafisha fuel injectors ni kutumia Ultrasonic Injector Cleaning Machines.

Hizi fuel injectors cleaners ni kujilisha upepo tu.
Zinafanya kazi lakini
 
Kuwa muangalifu sio kila gari inakubali addictives (oil and fuel treatment) so pitia user manual kwa usalama zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…