KERO Namba ya msaada 199 tuliyopewa na NHIF haipatikani

KERO Namba ya msaada 199 tuliyopewa na NHIF haipatikani

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Wadau tusaidieni tuko mkoani tunataka kupiga simu NHIF, walitupatia namba ya msaada 199 ila tukipiga hiyo namba ya msaada haipatikani kabisa. Watusaidie hata namba nyingine basi ya msaada kama hiyo namba hawaitumii.
 
Taasisi ya NHIF walitupatia namba ya simu ya mawasiliano ya msaada mbona hii namba haipatakani tuko mkoani tutupataje huduma naomba mtusaidie kufikisha hili kwa wahusika
 
Back
Top Bottom