Namba ya nani unaitafuta bila mafanikio?

Namba ya nani unaitafuta bila mafanikio?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Huu ni uzi maalum kwa MwanaJF kusema namba ambayo amekuwa akiitafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenye shida kwa kumtumia namba hio hapa.

Mimi kama Mimi na shida na namba ya kichwa kichafu ili huyu jamaa awe rafiki yangu

images%20(2).jpg
 
Back
Top Bottom