ERICKY_TZ255
Member
- Aug 27, 2024
- 49
- 42
Naomba kuuliza huwa ni baada ya muda gani kupata namba yako ya NIDA baada ya kumaliza kupiga picha na kukamilisha usajili?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona mwezi umeshakataWiki mbili tu!
Umeshaenda kuulizia?Mbona mwezi umeshakata
Nilkijaribu mtandaoni wananiambia ni hakiki taarifa zanguUmeshaenda kuulizia?
Kaulizie ulipojiandikishaNilkijaribu mtandaoni wananiambia ni hakiki taarifa zangu