Namba ya simu ya Bi Chau

hahaha ninampenda jaman bichau!uwiii !nilitaka sana aje kwenye kitchen party yangu anifunde niwe nacheka mie !mama akagoma !lol
Labda mama alihisi atakuja na "mashouger" hahahahahaha. habari za mchana bibie?
 
hahha mamangu pure sabato haamini kwenye hayo mambo ya kina biachau !anadai likikukuta tu kweye ndoa sali sana na usome bible !hahaha nampenda sana jaman !huwa simkosi itv
 
hahahaha, mama alikubania zawadi, maana watu wangesikia anakuja Bi Chau wangetoa ufadhali kwa dhati kabisa hadi ukumbi ingebidi mkae kama mko darasani hakuna meza hahahahahah kwa wingi wenu
 
hahaha !lakini umeipata? mrushen aje na ndege tafwazali ! yeah zawad zingekwua mob !
 
Hapana sijapata. kama ikifika jioni sijapata nitaenda kwa mwikilishi wa ITV hapa kwetu anipatie au aniombee huko DAR
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…