Namba yako ya simu ndio sura yako utotoni

Mnatutafutia BAN??maana namba zangu zaishia 5 nyingine 7
 
Kuna yule wa mjengoni ya kwake inaishia 5.

huwezi amini anavyomechishia, copy to write..... hahahaha!
 
Duh mimi no 7!! Kama ningekuwa hivyo nahisi mama angenitelekeza barabarani [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Unataka kutuaminisha kwamba yule mbuge wa Nkasi yule mweupe namba yake ni 2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…