Namba yako ya simu ndio sura yako utotoni

Ngoja ntafute wastani ndo ntapata sura yangu..maana mm nna namba tatu!!
 
hiyo 5 n kwa akina Nanii, wenye nyota ya kutumbua majipu
 
Dah nashukuru sipo namba 5 maana ni mtoto lakini ni noma
 
nadhan cc wa 0 tulikuwa hutuhazaliwa bado [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…