Namba za magari Tanzania

HorsePower

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2008
Posts
3,612
Reaction score
2,567
Jamani nimeona tukumbushane kidogo kuhusu hizi namba za magari Tanzania. Maana kuna vifupisho vyake vingine vinabeba maana halisi ya maneno yanayotumika ktk maisha yetu ya kila siku.

Kama na wewe unakumbuka namba kadhaa, please ogezea kwenye list ...
Majina ya kampuni/Mashirika
T 203 WFP
T 119 ILO
T 223 PPF
T 109 BMT
T 100 TFF
Majina ya Watu
T 666 ALI
T 102 ANA
Majina yanayokera
T 112 AFE
T 999 UFE
Majina ya Taaluma
T 111 MIS
T 109 ICT
Majina mengine
T 703 BOY
T 150 BIA
T 105 ASS
T 445 MBO
T 115 TIA

Ongeza na ya kwako hapo chini
 
Herufi O haitumiki katika usajili ndugu..........halafu hizo ni namba za usajili tu.....nothing more
 
t2015 cdm
 
Mh! Je ikiwa hivi
T 215 SLA
I'm just kidding.
 
Mtoa mada umetupeleka kwenye uwanja wa "uongo"?. mbona namba nyingi ulizoweka hapo bado hatujazifikia????
 
Pia herufi I haitumiki
Ni kweli kaka....hii ni kuondoa confusion na namba 0 na 1 ndio maana namba zote zinaanzia 101....hadi 999 na sio 001.....gari ya kwanza kabisa ikiwa T101AAA na ya mwisho hopefully T999ZZZ
 
T444 BUS,namba ya basi moja la super Feo.
 
T307 AZA, na ndio jina la mmiliki wa hiyo gari.
 
Hivi gari namba MMM ni ya kiongozi gani hapa nchini? Tumesimamishwa mahali fulani kupisha msafara wake.
 
T777BAG
T212CUF
T455CUP
T333DAR
T122ARV
T222ADD
T321AHA(ilikuwa dawa ya meno)
DRC(hii bado lakini itakuja mbeleni)
T202DEC(ufupisho wa December)
T444DCM


KUMI ZINATOSHA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…