That Gentleman
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 2,215
- 3,678
ngoja nikachukue daftari langu la BAM, nikumbushie conceptWatalaam wa hesabu (permutation and combination) watukokotolee namba ngapi za magari zipo kati ya T101AAA hadi T9999ZZZ bila kutumia herufi O na I kwa mtindo wanaotumia TRA..
Sioni tatizo.Jamani nimeona tukumbushane kidogo kuhusu hizi namba za magari Tanzania. Maana kuna vifupisho vyake vingine vinabeba maana halisi ya maneno yanayotumika ktk maisha yetu ya kila siku.
Kama na wewe unakumbuka namba kadhaa, please ogezea kwenye list ...
Majina ya kampuni/Mashirika
T 203 WFP
T 119 ILO
T 223 PPF
T 109 BMT
T 100 TFF
Majina ya Watu
T 666 ALI
T 102 ANA
Majina yanayokera
T 112 AFE
T 999 UFE
Majina ya Taaluma
T 111 MIS
T 109 ICT
Majina mengine
T 703 BOY
T 150 BIA
T 105 ASS
T 445 MBO
T 115 TIA
Ongeza na ya kwako hapo chini
Hapana,Zero haianzi mwanzoni kwa namba za "T" kuna mtaalam kalisema humu nadhani yupo TRA.Wanatumia formular ya Txyzabc where x,y,z are positive intergers na kwamba X iz not equal to zero na hizo a,b,c ni alphabets ambazo hazihushishi O na I.Kind of Mathematics!Hiyo shughuli ni pevu sana! Lakini plate number zinaanzia T 001 AAA
Mkuu we bam bam mnafahamika ni linear programing na sequence and series ndo uwanja wenu wa nyumbani ila huko kwa pamutation mhh japo si ngumu lakin hapo aise mkuu ukiweza we ulienda kusoma bam bahat mbayangoja nikachukue daftari langu la BAM, nikumbushie concept
T 264 UKE
NaanzaJamani nimeona tukumbushane kidogo kuhusu hizi namba za magari Tanzania. Maana kuna vifupisho vyake vingine vinabeba maana halisi ya maneno yanayotumika ktk maisha yetu ya kila siku.
Kama na wewe unakumbuka namba kadhaa, please ogezea kwenye list ...
Majina ya kampuni/Mashirika
T 203 WFP
T 119 ILO
T 223 PPF
T 109 BMT
T 100 TFF
Majina ya Watu
T 666 ALI
T 102 ANA
Majina yanayokera
T 112 AFE
T 999 UFE
Majina ya Taaluma
T 111 MIS
T 109 ICT
Majina mengine
T 703 BOY
T 150 BIA
T 105 ASS
T 445 MBO
T 115 TIA
Ongeza na ya kwako hapo chini
Hiyo haijafika bado[emoji15] [emoji15]T 264 UKE
T666ALI[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji106] [emoji106]Jamani nimeona tukumbushane kidogo kuhusu hizi namba za magari Tanzania. Maana kuna vifupisho vyake vingine vinabeba maana halisi ya maneno yanayotumika ktk maisha yetu ya kila siku.
Kama na wewe unakumbuka namba kadhaa, please ogezea kwenye list ...
Majina ya kampuni/Mashirika
T 203 WFP
T 119 ILO
T 223 PPF
T 109 BMT
T 100 TFF
Majina ya Watu
T 666 ALI
T 102 ANA
Majina yanayokera
T 112 AFE
T 999 UFE
Majina ya Taaluma
T 111 MIS
T 109 ICT
Majina mengine
T 703 BOY
T 150 BIA
T 105 ASS
T 445 MBO
T 115 TIA
Ongeza na ya kwako hapo chini
Ni T101 AAA hadi T999 ZZZ na siyo 9999!Watalaam wa hesabu (permutation and combination) watukokotolee namba ngapi za magari zipo kati ya T101AAA hadi T9999ZZZ bila kutumia herufi O na I kwa mtindo wanaotumia TRA..
Hapana,ni 101! Zamani zile za mikoani kama MB,MG,MB ndo zilianza 001 na zile za Tanzania mfumo wa TZA,TZB nafikiri ilikua ni 001.hadi 10000Hiyo shughuli ni pevu sana! Lakini plate number zinaanzia T 001 AAA
STK = Sitaki Tena KulaIvi na zile STK AU STL manake nini?
Yeap.NilikoseaNi T101 AAA hadi T999 ZZZ na siyo 9999!
HahahahaaaSTK = Sitaki Tena Kula
STL = Sitaki Tena Lager
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]