Namba za Matapeli hizi hapa.

Polite

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2011
Posts
1,095
Reaction score
816
Hizi ni namba za matapeli wanaopigiaga watu simu na kubrainwash watu kwa stori za alinacha.

I Q yako ikiwa na 0.2kb lazima unaswe.

1) 0769354766
2) 0753126969
3) 0757183990

please trust every body but not their devils inside them.

kazi kwenu.
 
tunaomba mifano hai ya kutapeliwa hili tuwe makini kujilinda:rain:
 

namba xwatabadilisha tuu tuambie wanatumia mbinu gani? ili kujihadhari kabla ya hatareeee
 
Mimi ninazo nyingine tatu hapa, wanadili kila siku
 
Wanakuja kulingana na wanavyokukuta, kama unauza nguo wakujia kistory za nguo na kama una kampuni wanakujia kikampuni hawana fomula
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…