Mzee makoti
JF-Expert Member
- Jul 27, 2016
- 3,482
- 4,673
Kuna zoezi mitaa ya kwetu huko la kubandika namba za nyumba zile za njano, hivi zina umuhimu gani ilhali watu wengine tulishapewa hati na kuna plot number ya eneo!!? Naona kama ni mradi tu waupigaji pesa, kila kinamba inatakiwa kulipia 5,500/= ukipiga hesabu kwa nyumba elfu kumi tu karibia mamilioni