Himidt Lengo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2018
- 307
- 244
Naomba uiniwekee apa ndugu.Nenda kwenye website yao mkuu
Mara nyingi namba zinazowekwa pale huwa hazipatikani.Nadhani hiyo taasisi ina website, ni bora uende huko itakusaidia kupata mawasiliano unayo yataka
Umejaribu ukakuta hazipatikani,? Unataka kusema hiyo taasisi ni fakeMara nyingi namba zinazowekwa pale huwa hazipatikani.
Hata email hua inakua fake?Mara nyingi namba zinazowekwa pale huwa hazipatikani.
Yeah, au hata kama iko active huwa hawajibu ujumbe.Hata email hua inakua fake?
Niaje Kaka. Potea sana aisee hasa kule ktk group letu pendwa....Nenda kwenye website yao mkuu