KERO Namba za simu za NIDA tawi la Ukonga zinatumika muda wote! Nini kinaendelea?

KERO Namba za simu za NIDA tawi la Ukonga zinatumika muda wote! Nini kinaendelea?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Mzee23

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2014
Posts
1,731
Reaction score
3,628
Habari wakuu,

Ni wiki sasa, nimekuwa najaribu kuwasiliana na mamlaka ya vitambulisho vya Taifa ofisi za Ukonga, Dar. Zipo namba mbili zimewekwa mtandaoni kwa ajili ya wananchi kuwasiliana na mamlaka hii kuhusu huduma za vitambulisho ikiwemo hii +255673333444 lakini namba hizi hata wewe hapo ukijaribu kupiga jibu ni zinatumika..

Hii imekaaje? Ni kweli zinatumika watu ni wengi au kuna uhuni tunafanyiwa? Kama ni uhuni, mamlaka pia zimebariki AIBU HII?

Naombeni majibu!
 
Kama namba za Nabii Kiboko ya Wachawi wa Buza kwa Lulenge.
 
Back
Top Bottom