Namba zipi za simu umezikariri?

Wimsha

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2015
Posts
518
Reaction score
504
Wana Jf juzi nilisahau cm yangu yenye namba ya cm ya mama yangu na nilipotaka kuwasiliana na mama yangu kwa mshangao mkubwa sikuikumbuka kabisa. Namba nilizokumbuka kichwani ni moja ya mchepuko ya pili ni ex g wangu na ya tatu ni ya kazini.

Kwa dhati ya moyo wako namba za akina nani umezikariri?
 
Unfortunately nimeikariri ya Mama angu na mdogo wangu tu!

Ya Mama angu nimeikariri kv ana pressure na kwahiyo sijai-save! Ya mdogo wangu ni kv ipo simple sana!
 
mekariri ya mam yang,baba,mdgo wangu na marafik zang baadhi.
 
Zangu,za my lovely brother and my lovely sister.
 
Nimekariri ya kwangu na ya mjomba wangu.
 
Mbili yangu na ya bimkubwa wangu..
Japo ya bimkubwa inabidi nitulize akili kama ukinikurupua usingizin siwez itaja pia[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nyingi sana.
Ila Mama Baba wa watu wangu wengi wa karibu
 
Nimekariri yng na ya demu Wng tu,tena ya demu Wng imenilazimu kuikariri 7bu ya kufanya miamala Mara kwa Mara maana kwa mizinga hajambo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…