Nambie baby nakupenda!

Eeka Mangi

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2008
Posts
3,173
Reaction score
482
Tuko mahali tunajaribu kupunguza tustress twa mchana Wa Leo. Dogo moja kapata mbili tatu ndo akamkumbuka wake mwandani. Kanyanyua kilongalonga akampigia akanza kukwambia SEMA BABY I Love you! Inaelekea mama kakataa wacha jamaa awake oooh kuna Bwana uko naye hapo! Mara hauko nyumbani! Sasa angukubali kusema baby I love you ndo angekuwa yuko mahali salama ama vipi? Yoso bana taabu tupi!
 
hyo ni zuga tu! kuna wengne anaeza kuwa na bwana lakn akakuzuga na maneno matamu.. haijalish!
 
hzo ni za kiprimary, et haya washa redio,zima. gonga sufuria au angusha kijiko ili nijue upo hm! hahahaa binadamu hachungwî et...
 
Senetor, hebu nambie we unaweza mfanyia hvo patner wako ati km upo hm nipe flan niongee nae ama fanya kt flan ili niprove upo safe? huo ni ujinga na u.p.u.m.b.a.v.u smtime. it means humwamin partner wako sa km humwamin kwnn upo nae? kiukwel me huwa naichukia sana hyo!
 
Last edited by a moderator:
He he he mapenzi ya primary magumu sana....................
Kwani akisema ndo nini ujinga mwingine bana eti kisa mapenzi.................
Bora yetu sisi kulikuwa hakuna simu anapita na baiskeli analiza kengele
unatoka kwenda kumwona ilikuwa raha kuliko siku hizi stress na visimu vya Techno
 

hahaa,umeona eeh! BTW POLE KWA MSIBA...
 
Mapenzi ya kitoto sana hayo,mwambie ajitahidi kwenda na wakati..
 
Ki babe nilkuwa nacho jana nakilisha species.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…