Nambie kwanini mimi nisinywe pombe?

Umekutesa wewe na sio wote bwashee ,kaa kwa kutulia huwenda kwa ukubwa wa ubongo wako hukupaswa tumia pombe🤔
Oy tangu najitambua napiga gambe..nimeanza chekechea ubongo wangu unatisha kabisakwa pombe.... bwana wee wachana na chupa ni ushenzi kabisa uwiii

Imeumiza maisha yangu big time
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…