Relax man huwezi ninsema kwamba mimi nakunywa pombe maana watu wengi watunyooshea kidoleNimeiacha pombe zaidi ya 15 year Sasa , siwezi kuirudia, kupenda wanawake sio ulevi ni tabia, iyo tabia Ipo Kwa makundi yote wanao kunywa pombe na wasio kunywa pombe. Kwahiyo kutokunwa pombe hakumfanyi MTU kuwa Malaya.
Hata hivyo fanya kinachofurahisha moyo wako tusipangiane starehe.
KuberiKwema wakuu
Nikiona mtu anamuambia mtu asinywe pombe namuona kama ana matatizo ya akili.
Hapo unakuta
1.Anakunywa Ernegy
2.Soda Pepsii Bariidi
3.Anapenda wanawake balaa
4.Anakula Gomba na Skanska
Mpumbavu wewe
Haaahaa 😂 😁 aiseeeeKumbe mdadaa 🤣🤣🤣🤣 Dr am 4 real PhD watambulishe mwenyekiti
Sawa mkuu tuanzisheee 😊😊Tuanzishe sisi bwashee mshana naona kupokea ushauri wetu kazeeka sana😅
Pombe sio uji bwasheeHaaahaa 😂 😁 aiseeee
Noma sanaaaPombe sio uji bwashee
Duh mpka now nimelewa , kuna ka pombe nilikanywa ni kidogo mno ila kanalewesha mnoNoma sanaaa
Inabidi uongezee tena kuzimuaa then supuuuDuh mpka now nimelewa , kuna ka pombe nilikanywa ni kidogo mno ila kanalewesha mno
Hahahaha hapo ni kulala tu bwasheeInabidi uongezee tena kuzimuaa then supuuu
Mwanangu upo vizuri. Am proud of you son.Situmii pombe na hivyo vyote ulivyovitaja pia simo.
Lengo mahususi sio kuchelewesha kifo(huo utakuwa ni upuuzi) lengo kuu ni kutunza utimamu wa akili Ili kujiepusha na maamuzi mabaya.
Mkuu mimi sili kitimotoStupid kabisa wengine ndo wanafanya uchafu wa maumbile km huyu Poor Brain anasema sio dhambi ety dhambi ni kula kitimoto
Mshenzi sana huyu mtoto mla kitimoto poor brain maarfufu km mbamizwa kobaa,, nduguye mbamizwa katumeni cc DIVISHENI FOO
We jamaa mimi ni mwislam safiKesho jumuiya tutasali kwa Poor Brain awahi awashe mshumaa,
Wanajumuiya wa Thomas More, tuwahi
Tumsifu Yesu kristo
Dhambi ni hisia ya kiyahudi mkuu,Mkuu mimi sili kitimoto
Mkuu mimi pia sifanyi uchafu wa kimaumbile
Acha kusambaza mambo ya ajabu mi jilichosemq kitimoto ina dhambi kubwa kuliko ishunya kulana
Mkuu acha mambo yako ya ukafiri hapa..Dhambi ni hisia ya kiyahudi mkuu,
What is pure Tanzania, why mixed feelings...
Back in days
Everything Greek turned roman
Everything roman turned German
Everything German turned Europe
Everything Europe turned American
Everything American turned worldwide...
Mkuu tupo kwenye pori, unaweza kula au kunywa chochote, kinachokutatiza wewe ni joka la kimaadili, ipo siku nikipata wasaa nitakupatia simulizi ya joka...Mkuu acha mambo yako ya ukafiri hapa..
Unataka kunishawishi nile laana ambayo mungu kapiga marufuku
Shame on you
Did you even know how faith i have