cold water
JF-Expert Member
- Oct 6, 2021
- 238
- 954
.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unazipanga sehem ganiMara chache napanga kwa sababu natumia njia ambayo nguo zote zinaonekana so navuta ninayoitaka tuu...
mfano nikikunja, nakunja nguo Mara mbili kupunguza urefu na upana Kisha nairoll/ naizungusha mfano wa chapati Kisha unapanga kwa kugawanya au hata zote sehemu moja na zisivurugike ukiwa mstaarabu.
Hii inasevu nafasi na muda wa kutafuta nguo na muda wa kukunja kunja manguo...
Mahala popote mkuu, iwe kabatini au sandukuni au kwenye draw, tena hata ukisafiri hii ndio njia bora ya kupanga nguo kwa sababu utaweza kubeba ngui nyingi zaidi na hazichukui nafasi.....pia hazijikunjiUnazipanga sehem gani
Njia ya role?Mahala popote mkuu, iwe kabatini au sandukuni au kwenye draw, tena hata ukisafiri hii ndio njia bora ya kupanga nguo kwa sababu utaweza kubeba ngui nyingi zaidi na hazichukui nafasi.....pia hazijikunji
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Ni hivyo yani..An example plz
Huu ndio upangaji wangu nguo hazichujui nafasi na hata kuvurugika sio sana
[emoji1787]Mimi nguo zangu narundika chafu na safi sehemu moja utafikiri adui wa afya
Sindika na kapicha basiiiiMara chache napanga kwa sababu natumia njia ambayo nguo zote zinaonekana so navuta ninayoitaka tuu...