Nambie unahakikisha vipi nguo zako zikipangwa hazivuruguki tena?

Mara chache napanga kwa sababu natumia njia ambayo nguo zote zinaonekana so navuta ninayoitaka tuu...
mfano nikikunja, nakunja nguo Mara mbili kupunguza urefu na upana Kisha nairoll/ naizungusha mfano wa chapati Kisha unapanga kwa kugawanya au hata zote sehemu moja na zisivurugike ukiwa mstaarabu.

Hii inasevu nafasi na muda wa kutafuta nguo na muda wa kukunja kunja manguo...
 
Unazipanga sehem gani
 
Huku Kyerwa Siku Hizi Angalau Shangazi Kaja Zipo
Tunajaza Zote Humo Humo, Nikila Chai Katoke Safi
Nachukua Navaa Tu Maisha Yanakwenda Smooth Kama Maji
 
Unazipanga sehem gani
Mahala popote mkuu, iwe kabatini au sandukuni au kwenye draw, tena hata ukisafiri hii ndio njia bora ya kupanga nguo kwa sababu utaweza kubeba ngui nyingi zaidi na hazichukui nafasi.....pia hazijikunji
 
Njia ya role?
 
Nazikunja na kuzipanga kwa namna ambayo zinaonekana zote, na blauz zinakaa kivyake, magauni,suruali nk.
 
Sindika na kapicha basiiii
 
Reactions: BAK
Kuna clip YouTube zinaonyesha namna ya kukunja nguo. Me nilijifunza kiasi kwamba naweza. Kunja nguo na nikairusha hewani wala isijikunjue
 
Sikunjagi nguo nikishafua nizitupia kwny begi.
Nikipiga Pasi zinakuw vzr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…