Namchekaga bi tukinao

Mi naamini kila mtu na maumbile yake.kuna mwanamke anazaa watoto 3 lakini nyonyo bado imesimama.kuna mwingine katoa mimba changa tu nido limefika kiunoni.
Unaweza kuzaa na ukabaki na umbo lako vilevile itategemea
Kweli kabisa
 
Asante kwa kutupa moyo Japo wengine miili yetu hii mhmh

Cc Smart911
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…